KANDANDA : Mechi ya Vuta ni kuvute, Uganda vs Rwanda

Blaise Itangishaka hubeba Dominique Savio-Nshuti
Baada ya kusawazisha 1-1 nyumbani wiki tatu nyuma, timu ya vijana wa Rwanda ni lazima kushinda mechi ya marudiano nchini Uganda leo, ili kufuzu katika michuano ya CAF U20 Nchini Zambia mwaka wa 2017.

Kocha mkuu wa vijana wa Rwanda Bw. Kayiranga J-Baptiste aliita wachejaji 18 jana alhamisi wanaoangalia kuichapa Uganda kwao mjini mkuu wa Kampala leo uwanjani wa Nambole.

Kayiranga alisema kwamba ana matumaini ya kuifunga Uganda wakati wowote watacheza pamoja na lengo la a ushindi.

Squad ya timu ya Rwanda Chini miaka 20( U20)

Makipa : Jimmy Djihad Nzeyurwanda (Isonga) and Bonheur Hategekimana (SC Kiyovu)

Mabeki : Patrick Ndikumana (Rwamagana City FC), Aman Niyonkuru (Bugesera FC), Ange Mutsinzi (AS Muhanga), Arafat Sibomana (Amagaju FC), Jean Paul Ahoyikuye (Nyagatare FC), and Aimable Nsabimana (Marines FC).

Viungo
 : Aime Ntirushwa (Interforce FC), Djabel Manishimwe (Rayon Sports), Kevin Muhire (Rayon Sports), Fred Ngabo Mucyo (AS Muhanga), Yamini Salum (SC Kiyovu) and Savio Dominique Nshuti (Rayon Sports).

Washambuliaji
 : Innocent Nshuti (APR FC Academy), Abeddy Biramahire (Bugesera FC), Blaise Itangishaka (Marines FC), and Vedaste Niyibizi (Sunrise FC).

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments