Mwanamziki Knowless atafanya tamasha nchini jirani na Rwanda

1

Maandalizi kuelekea mwisho baada msanii wa kike wa Rwanda kufanya mazungumzo bora na mkuu wa ‘’peace one Day’’ (shirika la yasiyo ya faida ina lengo la kusambaza amani ulimwenguni) Bw. Jeremy Gilley.

‘’Peace one day’’ yaandaa siku wa amani kila mwaka, tamasha hii itatokea tarehe 21 mwezi septemba mwaka huu mjini mkuu wa Uganda katika Lugogo cricket ground.

Jeremy Gilley, mwanzilishi wa ‘’peace one day’’ alikutana na Knowless ili kupanga kalenda yao kasha na Fidele Ndayisaba, katibu mtendaji wa tume ya umoja na maridhiano kwa kueleana kuhusu makubaliano.

Knowless anayejulikana kwenye nyimbo kadhaa katika lugha mbalimbali ataimba pamoja na wasanii kubwa kama Fally ipupa, Kidumu Kibido, Cindy Sanyu na kadhalika.

Knowless na Gilley

Ndayisaba na Gilley

Changia hii habari na wenzako.

Comments 1

Tumia Comments