Tanzania(PICHA) : PROFESSOR JAY AFANYA MAAJABU MIKUMI.

Professor Jay anasema : "Mkutano wa kuwashukuru wananchi wa kata ya RUAHA, Kata ambayo CHADEMA Inaongoza Serikali zote kuanzia Wenyeviti wa vitongoji vyote 20,

Wenyeviti wote wa vijiji 4, Diwani na Wamepiga kura nyingi zaidi za Kunichagua mimi kuwa MBUNGE wa jimbo la MIKUMI...
SALUTE Kwa watu wangu wenye mizuka isiyopimika wa Kata ya RUAHA !"

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments