APR FC kupindua RAYON SPORTS kwenye nafasi ya kwanza, POLISI FC bado hakutetea heshima ya kipolisi.

Iranzi J Claude
Baada ya siku chache, Bingwa mtetezi APR FC bado hakuongoza meza ya ligi kuu ya kabumbu nchini Rwanda, Jana ilirejesha heshima baada ya kuichapa Mukura Vs mabao mawili kwa moja uwanjani wa huye, nyumbani kwa Mukura Vs.
Mwenyeji, Mukura Vs aliyeongoza meza ya ligi wiki kadhaa iliyopito hivi sasa ameshuka nafasi ya tatu na alama 32.

Iranzi J. Claude na Nkinzingabo Fisto walisaidia APR FC kuifunga Mukura Vs wakati Emmanuel Ngama alifunga bao moja kwa upande wa mwenyeji.
Timu ya kijeshi ilichukua nafasi ya kwanza na pointi 37.

Jijini Kigali, RAYON SPORTS alisawazisha na AS KIGALI 1-1 uwanjani wa Kigali. Sugira Ernest wa AS Kigali alishinda bao la kusawazisha baada ya bao iliyoshindwa na Manzi Thierry wa RAYON SPORTS.

Matokeo mengine

SC Kiyovu 1-0 Espoir Fc
AS Muhanga 4-1 Amagaju

Jumatano

Sunrise Fc 0-0 Marines Fc
AS Kigali 1-1 Rayon Sports
Etincelles 2-1 Rwamagana City
Gicumbi Fc 1-1 Musanze Fc
Mukura VS 1-2 APR Fc
Bugesera Fc 2-0 Police Fc

Msimamo wa Ligi kuu

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments