Malkia Elizabeth II atimiza miaka 90 ya kuzaliwa

Malkia Elizabeth ametimiza miaka tisini ya kuzaliwa. Malkia anasheherekea siku hii kwa kukutana na wananchi wake katika matembezi huko Windsor.

Malkia Elizabeth ametawala kwa muda mrefu zaidi katika historia ya Uingereza, muda unaokadiriwa kufikia zaidi ya sitini na nne.

Tarehe 21 Aprili Malkia anasherehekea miaka 90 ya kuzaliwa na zifuatazo ni picha tofauti katika maisha yake.Martin Hubert IKURAMUTSE

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments