RDC yataka upelezi kuhusu wanamgambo walioshambulia Rwanda jumamosi iliyopita.

Lambert Mende
Katika mahojiano na RFI, Msemaji wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia Congo, Bw Lambert Mende alisema kundi la askari (neutral soldiers) wanaolinda mpaka kati ya Rwanda na DRC wanastahili muda kwa ajili ya kufanya upelelezi makubwa kuhusu mashambulizi hayo.

Mende alisema “Kwa mujibu wa ushahidi uliyopewa, nchi Jirani ilishambuliwa katika upande wa Wilaya ya Rubavu jirani na DRC lakini tunataka upelelezi kwa kujua wapi washambuliaji walitoka.’’

‘’ni kitu muhimu kwamba askari bure kwenda Rwanda kutafuta dhahiri kasha tutajua chakufanya.’’ Aliongeza.

Serikali ya Kinshasa inasema kwamba bado ni mapema kujua ni mshambulizi lakini Mende alihakikisha kuendeleza vitendo dhidi ya FDRL.

FDRL ni kundi la wanasilaha wanaotambulika kama kundi la wahusika na mauji wa ya kimbari dhidi ya watutsi ya mwaka 1994.

Wizara ya ulinzi nchini Rwanda (RDF ) kupitia taarifa rasmi ilitangaza kwamba walioshambulia Rwanda kuwa wanachama wa kundi la kigaidi FDRL wanaoishi katika DRC.
Ni shambulio la pili katika wiki chache.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments