Rubavu : Wanamgambo bado kujulikana wameshambulia kituo cha polisi, Gari moja iliyoteketezwa.

Wanamgambo bado kujulikana wameshambulia kituo cha polisi katika Bugeshi kWilayani Rubavu, mkoani magharibi mwa Rwanda jirani na Jamhuri ya Kidemokrasia Congo (DRC) jana usiku wa manane.

Katika shambulio hii kati Polisi na wapiganaji bado kujulikana gari moja ya polisi imeteketezwa na mlango wa Benki Sacco kuharibika.

Katibu mtendaji wa tarafa la Bugeshi, Bw. Etienne Mvano alithibitisha habari ya shambulio hii, ingawa anasema watu waliofarki kutokana na shambulio na washambulizi bado kujulikana.

‘’walianza kupiga risasi, wamehitaji kuvamia mlango wa Benki Sacco kwa lengo la kuiba, wao kuharibu bio lakini hakuwezi kuingia ingawa Gari ya Polisi iliteketezwa.’’ Etienne alisema

Mukamana Vestine, mmoja miongoni mwa wakazi wa Bugeshi akisema ‘’ ilikuwa katika usiku, tumeskia risasi tangu wakati huo tuliogopa, nyumba zetu kuharibifu na risasi lakini si vibaya ni kazi ka polisi kutulinda.’’

Waraia katika eneo hilo wanasema wana habari inayosema kwamba Polisi watatu waliuawa katika haya mapigano.

Uongozi mbalimbali pamoja na Polisi wamekusanya warai kwa kuwapa pole na kuwathibitisha amani katika hali hii.

Msemaji wa Polisi aliambia gazeti ‘imvaho nshya’ kwamba shambulio hii iliyotokea ingawa bado kujua ni nani alishambulia kituo cha polisi.
Aliongeza kwamba upelelezi bado kumalizika.

Chanzo : Imvaho nshya

Janvier KARANGWA

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments