Tanzania(PICHA) : Mr Blue amefunga ndoa !

Supastaa mkongwe wa Bongo Flava Mr Blue amefunga ndoa na baby mama wake Waheeda, ambaye amezaa naye watoto wawili. Blue amefunga ndoa leo April 14 2016 kimya kimya na inasemekana kwamba waliohudhuria ni ndugu na marafiki wachache wa karibu.


Chanzo : Bongo5

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments