Hii hapa Droo kamili ya nusu fainali Kombe la Shirikisho

Baada ya mechi za robo fainali kumalika hapo jana, droo ya nusu fainali imefanyika tayari na haya ndio matokeo.

Coastal Union baada ya kuichabanga Simba SC wanapatana na mababe wengine mara hii ni Young Africans. Nusu fainali lingine itakua Azam wakimkaribisha Mwadui

Azam Sports Confederation Cup Semi Final :
Mwadui vs Azam FC (Shinyanga)
Coastal Union vs Yanga (Tanga)

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments