Wanasayansi bado hawatambui sababu ya mabadiliko ya rangi ya maji ya ziwa la Kivu aliotokea hivi karibuni.

Rangi ya sasa
Tangu tarehe kumi mwezi Aprili mwaka huu, rangi ya maji ya ziwa Kivu limeanza kubadili pole pole. Rangi ya kawaida ilikuwa bluu lakini sasa ziwa la Kivu inaonekana katika sura mpya ya rangi ya kijani.

Waraia wanaoishi karibu na ziwa la kivu wanasema kwamba mabadiliko ya rangi inatokana na mabadiliko katika volkano hata kama wanasema kulitokana na mmomonyoko inayoelekaa katika ziwa hilo.

Wanasiayansi katika tasisi inaofuata volcano mjini Goma kwa upande wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo wanatangaza kwamba kubadilisha rangi inaweza kusababishwa na harakati ya maji,( harakati ya juu na chini katika kina kirefu ya ziwa). Haya ni mabadiliko anayotokea wakati maji ya juu anaelekea kina kirefu ya ziwa lakini maji ya kirefu anapanda juu.

Mwanasayansi Bw. Charles Balagizi kutoka tasisi inayofuata Volkano katika goma alisema ’’Vinavyotokea maji kubalisha rangi maji ya chini ya ziwa ni yenye mazingira ya rangi ya kijani kila muda anapanda juu maji anabadilika moja kwa moja.’’
Pia alikana kuwa kubadilika kwa rangi inayotokana na mabadiliko ya volkano.

Mugisha Ange, mtafiti katika tasisi za kusimamia maji ya kivu kwa upande wa Rwanda anasema kwamba bado kutambua sababu ya mabadiliko hayo kabla ya kutangaza sababu wazi.

Alisema ‘’ bado tunafuata mabadiliko haya lakini hawezi kuthibitisha kwamba rangi ya kijani litokana na harakati ya volcano karibu na ziwa hii.’’


Janvier KARANGWA

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments