Katibu mtendaji wa tarafa la Nyarugenge alitolewa uhuru kwa muda.

1

Nsengiyumva Charles pamoja na wakazi wanasaidiwa na mpango ’VUP
Mahakama ya msingi katika eneo la Ruhuha Wilayani Bugesera alitolewa uhuru kwa muda katibu mtendaji wa tarafa la Nyarugenge Bw. Nsengiyumva Charles.

Yeye anatuhumiwa kutumia uwezo wake kwa kugeuza pesa za watu maskini, Lakini Nyecumi Jean Baptiste, mkuu wa mpango ‘VUP’ anabakia Jela siku thelathini wakati upelelezi kuhusu tuhuma zake bado inaendelea.

Mahakama alihitimisha kwamba kuna si sababu ya kumbakia jela (katibu mtendaji) kwa maana hawana ushahidi wazi.

Katibu mtendaji wa tarafa la Nyarugenge Bwa Nsengiyumva Charles pamoja na Nyecumi jean Baptiste walikamatwa kati ya tarehe 25 na 26 mwezi Machi kwa kutuhumiwa na kugeuza pesa zaidi ya milioni 49 Rwf za mpango ‘VUP’ anasaidia watu maskini.

Janvier KARANGWA

Changia hii habari na wenzako.

Comments 1

  1. katibu mtendaji huyu Charles anajulikana sana Kwa kuwa mchapa kazi sana na nimtu mwenye mapenzi na huruma Kwa watu wote
    kama ameachiliwa Kwa dhamana ni ishara kwamba kesi hiyo ataishinda Mungu amsaidie.

Tumia Comments