“Yeyote bado ana itikadi ya mauaji ya halaiki, ni bora kujiua’’- Jenarali IBINGIRA

General ibingira mkuu wa vikosi hifadhi
Wiki hii tarehe 10 mwezi aprili mwaka huu, katika Walaya ya Nyagatare mkoani wa mashariki, Jenerali Fred Ibingira alihudhuria mjadala kuhusu mauaji ya halaiki dhidi ya watutsi mwaka 1994, aliomba washiriki kuachana na itikadi ya mauaji ya halaiki.

Jenerali Ibingira aliomba washiriki kukataa itikadi ya mauaji ya kimbari kwa sababu yaharibiwa nchi, aliwaomba kuachana nayo, alisema kwamba mtu bado ana hii itikadi ni bora kujiua kukuondolewa mwenyewe kutoka kwa watu.

‘’yeyote bado ana itikadi ya mauaji ya kimbari ambao anayoishi katika Wilaya ya Nyagatare, ni bora kupanda jengo moja miongoni mwa majengo aliojengwa hapa kisha anaua mwenyewe.’’ Ibingira alisema.

Aliongeza kwamba itikadi ya mauaji ya kimbari inagawanywa katika makundi mawili( mbaya na nzuri) katika hotuba yake alisema kwamba itikadi mbaya yaharibiwa nchi ya Rwanda.

Katika Mauaji ya kimbari nchini Rwanda watu zaidi milioni moja walifariki inamaanisha watu elfu kumi waliuawa kila siku kwa mujibu wa Jenareli Ibingira fred.

Alisema kwamba mauaji ya kimbari ilikuwa kukuzwa na uongozi mbaya miaka kadhaa iliyopita ambapo ilifundishwa katika shule na na makundi yote ya watu katika vijiji na miji.

Ni mjadala uliohudhuriwa na wanafunzi katika chuo kikuu pamoja na wanafunzi katika chuo cha East Africa University na Francis Kaboneka pia alihudhuria mjadala hii.

Janvier KARANGWA

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments