Sala la uponyaji kuenea uwanjani Amahoro

Baba Ubald Rugirangoga anaibua msalaba takatifu kuomba kwa ajili ya Wakristo ambao walifika katika uwanjani Amahoro jana.
Jana maelfu ya watu alihudhuria sala la uponyaji katika uwanja wa taifa Amahoro, hii sala iliandaliwa na Kanisa ya Katoliki iliongozwa na Baba Ubald Rugiragonga .

Baba Ubald alitoa wito wahusika wa mauaji ya kimbari dhdidi y a watutsi kutafuta masmaha na waathirika kusmaha watesi wao kama taratibu ya ili kuponya majeraha.

Kwa mwisho wa sala, Baba Ubald alipo ngeza wakuu wa Dini ambao walihudhuria sala hii.

Janvier KARANGWA

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments