Kushambulia nchi yetu ni maneno, haiwezekani kamwe – Kagame

Rais Paul Kagame anasema kwamba wahusika wa mauaji ya kimbari wao bado wajaribu kuharibu Rwanda, lakini ni maneno haiwezekani kuharibu Rwanda tena.

Katika hotuba yake kwenye usiku wa kukumbuka waathirika wa mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi mwaka 1994 uwanjani wa taifa Amahoro jana usiku.
Rais Kagame alisema kwamba haiwezekani kufumbua maneno ya kueleza huzuni ya Wanyarwanda katika wiki hii ya maombolezo.

’’Tulipoteza watu zaidi milioni moja, hawa watu waliopoteza maisha yao, walikufa kwa sababu ya itikadi mbaya […], huu siyo mwisho wa historia, ni lazima nchi kuwepo bila kusahau watu iliopoteza’’ aliongeza.

Alisema kwa mba huzuni hii ni msingi imara wa maisha mpya ya nchi ingawa kuna watu amboa wanataka kuharibu hatua zilizojengwa tangu miaka mingi iliopita.

Watu hawa hawawezi kufanikiwa kwa sababu vitendo vyao ni maneno tu ‘’hatuwezi kufufua waathirika, lakini tuna uwezo wa kulinda na kujenga nchi yetu […] yeyote hujaribu kuharibu chechote tulichojenga tangu miaka 22 iliopita haiwezi kufanikiwa […] yeyote hujaribu kuvuruga nchi yetu, ni maneno tu haiwezakane.’’

Pia alisema’’tunasikia watu ambao wanazunguka mpaka, ni suala la muda ili kumaliza tatizo, angalau watutega maskio, watupe nafasi moja tuwaonyesha nini tunachosema.’’

Rais alipongeza vijana juu ya kuonyesha kwamba wana wajubu kuhusu maisha ya nchi na maisha yao wenyewe.

Janvier KARANGWA

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments