Musanze : Meya wa zamani ameshambulia na watu sita, mmoja ameuawa.

Winfrida Mpembyemungu
Jana usiku katika kijiji cha Amahoro, Wilaya ya Musanze, Watu sita wameshambulia nyumba ya meya wa zamani wa Wilaya ya Musanze Bi Winfirida Mpembyemungu, wamekuwa lenga la kuvuruga usalama wake lakini askari ambao wanalinda amani wamezuia washambulizi hao.

Washambuliaji hawakujulikana wamemushambulia katiku usiku wa manane, baada ya kutambuwa kwamba wameshambuliwa wanachama katika nyumba ya Mpembyemungu wameomba askari karibu nao kwa kuwaokoa. Basi askari wameanza kupiga risasi washambuliaji, mmoja miongoni mwa washambuliaji ameuawa na askari, mwengine amejeruhiwa. Mtu ambaye amejeruhiwa anasemwa kuwa Rachid mwenye umri wa miaka 22.

Jirani wa Mpembyemungu alitangazia mwanahabari kwamba katika usiku ameskia risasi machache wakati askari wamekabiliana na washambuliaji hao.
Msemaji wa Polisi katika mkoa wa kaskazini amese kwamba bado kufuatia kesi hiyo.

Hii ni mara ya pili Winfrida kushambuliwa, mwaka jana mwezi April tarehe sita wakati alikuwa meya wa Wilaya ya Musanze alishambuliwa na watu ambao waliua mototo aliopitishwa na mwengine alijeruhiwa.

Janvier KARANGWA

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments