Kizito Mihigo, Dr Rose Mukankomeje na Victoire Ingabire miongoni mwa washiriki wa maadhimisho ya kukumbuka katika jela

Jana, tarehe 7 mwezi wa Aprili, wafungwa katika jela ya Nyarugenge ambayo inajulikana juu ya jina la Dix neuf cent trente(1930) wameunga mkono wanyarwanda kwa kufungua wiki ya maombolezo, Tukio hili imehudhuria na wafungwa wanajua na wengi miongoni mwa wanyarwanda.

Kizito amesaidia kwaya kuimba
Kwa mujibu wa Umuseke.rw, inasema kwamba siku ya kwanza ya kukumbuka waathirika wa mauaji ya kumbari dhidi ya Watutsi katika jela kuu ya Nyarugenge imehudhuriwa na wafungwa maarufu kama Mwanamziki wa nyimbo za kidini na kadhaa Kizito Mihigo, Mwanasiasa Ingabire Victoire, Bi Valerie Bemeriki, huu alikuwa mwanahabari wa RTLM katika miaka ya 1994, Mkurugenzi wa taasisi ya kulinda mazingira Bi Dkt Rose Mukankomeje, Bernard Munyagishari ambao alirudishwa nchini Rwanda na mahakama ya TPIR pamoja na Ladislas Ntaganzwa anaye alikamatwa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kabala ya kurudushwa nchini Rwanda hivi karibuni.

Mwanahabari Valerie Bemeriki tangu kuria

Katika hotuba yake, Mkuu wa taasisi ya huduma za magereza RCS (Rwanda correction service) Bw. George Rwigamba aliwaomba kuachana na itikadi ya mauaji ya kimbari wakati wa maadhimisho na muda wa kawaida.

Katika wiki ya kukumbuka, wafungwa katika jela zote za nchi ya Rwanda wanapewa majadili kuhusu Mauaji ya kimbari dhidi ya watutsi iliyootokea mwaka 1994 kama wanyarwanda wengine nchini kote.

George Rwigamba aliwaomba kuachana na itikadi ya mauaji ya kumbari

Janvier KARANGWA

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments