Walinda amani nchini mbalimbali wameombolea mauaji ya Kimbari dhidi ya Watutsi mwaka 1994.

ACP Rutikanga(kushoto) Kamanda wa kitengo cha Polisi katika UNAMISS pamoja na maafisa mengine katika maadhimisho ya waathirika katika Malakai, nchini Sudan kusini.
Sanjari za walinda amani(askari na Polisi) kutoka Rwanda nchini Sudan kusini, Jamhuri ya Afrika ya Kati, Abyei na Haiti jana wameunga mikono na wakazi wa nchi hizo kwa kuombolea juu ya milioni ya watutsi ambao waliuawa katika mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi iliyotokea nchini Rwanda mwaka 1994.

Juuu ya Polisi 800 na askari walinda amani nchini sudan kusin(UNAMISS) wameunga mkono na sanjari ya Wanyarwanda wawakilishi wa mashirika yasiyo ya serikali na wakimbizi wa ndani(watu waliokimbia ndani ya makazi yao) kwa kumbuka mauaji ya kimbari dhidi ya watutsi miaka 22 iliopita.

Akisema katika kipindi cha maombolezo, mratibu wa UNAMISS, Bw. Hazel De Wet ametoa heshima kwa waathirika kasha amewapongeza wanyarwanda kwa kuwa haraka kujijenga.
‘’Rwanda iliamua nchi nyingine yoyote kwenda njia ya uzoefu mbaya na kuwa moja ya wachangiaji juu ya askari wa kulinda amani duniani.’’ Ameongeza.

De Wet alipongeza Wanyarwanda kwa ajili ya huduma zao mufano.
Akizungumuza kwa niaba ya askari walinda amani kutoka amani katika Upper nile, Kanali Deo Rusaganwa ameomba mashirika ya kimataifa kwa kuunga mikono na kusaidia katika ukamataji wa wahusika wa mauaji ya kimbari.

Nchini Haiti, maombolezo alifanyika katika kambi ya kitengo cha wanyarwanda(RWAFPU6) katika Jeremie ambapo watu juu ya watu 300 pamoja na Wajumbe wa Umoja wa mataifa, jamii ya Wanyarwanda nchini haiti wamehudhuria maadhimisho haya.

Kamishna wa Polisi katika MINUSTAH Brig Jenerali George- Pierre Monchotte alikuwa alikuwa mgeni mkuu.
Kamishna wa Polisi(CP) Joseph Mugisha kamanda wa polisi wakulinda amani nchini Haiti alisema kwamba miaka 22 iliopita wanyarwanda walienda kupitia siku mia za damu na machozi ya waathirika.

‘’wanyarwanda walizuia kwa kila namna, kwanza jeshi lake mwenyewe waliua waraia wasio na hatia, basi basi na walinda amani wa jumuiya ya kimataifa.’’ Cp Mugisha amesema.
Tangu jana Bendera la Rwanda inapepea nusu mringoti kwa kutoa heshima waathirika wa mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi iliyotokea mwaka 1994.

Walinda amani( Wanyarwanda) Mjini Bangui,nchi Jamhuri ya Afrika ya kati katika maadhimisho waathirika wa mauaji ya kimbari.

Nchini Haiti, wanyarwanda na marifi zao kutoka nchini mbalimbali wamefanya ziara ya kukumba.

Janvier KARANGWA

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments