Mamilioni 400 atatumiwa kwa kupigana na itikadi ya Mauaji ya halaiki.

Utafiti uliyofanywa mwaka wa 2015 na kamishna ya kupigana na Mauaji ya Kimbari uligundua kwamba wanyarwanda 16 kwa mia badi kuachana na itikadi ya mauaji ya halaiki hata kama ilipinguka kwa 84 kwa mia mwaka katika miaka 20 ilipita.

Mipango ya miaka mitano ya jukwa la kupambana na Mauaji ya kimbari na kukanusha Mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi(AGPF-Rwanda) linaonyesha kwamba linaenda kutumia mamilioni400 kwa kupigana na itikadi ya mauaji ya halaiki nchini Rwanda na nchi za kanda la maziwa makuu.

Kipaumbele katika shuguli hii itakuwa kufanya utafiti una lengo la kujua vipimo vya itikadi ya Mauaji ya kimbari katika kanda. kamishana inatangaza kwamba idadi kubwa ya watu ambao wanakanusha Mauaji ya Kihaili dhidi ya Watutsi iliyotokea mwaka 1994 wanaonekana nchin mbalimbali lakini zao hakuwapeleka mahakani.

Wakati wamekuwa kuhitimisha mkutano wao tarehe ya kwanza mwezi Aprili mwaka wa 2016,Mkuu wa AGPF-Rwanda Theoneste Karenzi alisema kwamba wanashirikiana na mashirika mengine ambayo anapambana na itikadi hii ndani ya nchi na katika kanda la maziwa mkuu na mabunge mbalimbali katika mapambano ya itikadi hii hata kama ni vigumu sana.

‘’hasa tunataka kuhamasisha mabunge ya jumuiya ya Afrika mashariki kwa kupambana na itikadi ya mauaji ya kimbari kupitia kusaini sheria ambayo anawadhibu watu wanao itikadi ya mauaji ya kimbari.’’
Karenzi amesema.

Isipokuwa utafiti, tutatafuta mambo mengine ambayo anaweza kusababisha itikadi ya mauaji ya kihaili ujumla. ameongeza.
Zaidi ya hayo tutafanya nyumba ya vitabu(makataba) vya historia kuhusu Mauji ya halaiki dhidi ya Watutsi na habari nyingine ili kusaidia watafiti.

Janvier KARANGWA

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments