Magufuli ameahidi wanyarwanda ushirikiano

Katika hotuba yake Rais Magufuli wa Tanzania ameahidi wanyarwanda ushirirkiano kati ya Tanzania na Rwanda wakati amekuwa kuchanganya lugha mbili, Kinyarwanda na Kiswahili amewapongeza wanyarwanda kwa kumkaribisha vizuri.

Amesema kwamba yeye hapendi kusafiri lakini anapenda matumizi. ‘’ Nimealipwa sehemu nyingi za ulimwengu lakini sijaenda nimealipwa na Kagame nimekuja. Nduguzangu, hii ni safari yangu ya kwanza… nimekuja kama ndugu yenu… kufungua daraja la Rusumo ni historia kubwa inayojengeka kati ya Rwanda na Tanzania… nataka kuwahakikisha kwamba Tanzania itatoa ushirikiano na Rwanda’’ Dkt Magufuli amesema.

Magufuli ametoa wito kwa nchi za Jumuiya ya afrika mashiriki kupitia umoja wanchi za EAC zinaweza kujenga maendeleo imara.

Magufuli ameshukuru Wajapani, benki ya maendeleo ya Afrika na wengine kwa kushiriki katika ujenzi wa daraja la Rusumo na barabara katika upande wa nchi mbili(Tanzania na Rwanda.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments