Rais Kagame amempa Magufuli ng’ombe watano

Rais Kagame wa Rwanda leo hii jioni amempokea Rais wa Tanzania muheshimiwa Dkt Joni pombe Magufuli nyumbani yake kisha amempa ng’ombe watano.

Kagame anafanya hatua hii, wakati Rais Magufuli anaizuru Rwanda ziarani ya siku mbili rasmi ambapo asubuhi hii leo wamefungua daraja mpya la Rusumo katika mkoa wa Mashariki jirani na Jamhuri ya Tanzania.

Ni ziara ya kwanza kwa Rais Magufuli tangu alichaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Tanzania kutembelea nje ya Tz.


Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments