Balozi Gerard Ntwari ameaga dunia

Kupitia mtandao wake wa twitter, Olivier Nduhungirehe, Balozi wa Rwanda nchini Ubelgji ametengaza kwamba Balozi wa zamani wa Rwanda nchini Ubelgji na Senegali Gerard Ntwari amefariki.
Mwaka 2010, Gerad aliteuliwa kuwa Balozi wa Rwanda nchini Ubelgji kisha katika mwaka wa 2012 aliendelea wajibu ya kuwa Blozi nchini Senegali.

Baraza la mawaziri tarehe 11 mwezi novemba iliyoongozwa na Rais Paul Kagame katika urais Village Urtugwiro alitueliwa kuwa Balozi wa Rwanda katika Senegal.

Gerard Ntwari wakati alipokuwa akiwasilisha barua ya stakabadhi kwa kuwa Balozi nchini Ubelgiji.

Janvier KARANGWA

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments