Rais Dkt John Magufuli atembelea Rwanda

Rais Kagame na mwenzake Magufuli
Rais wa Tanzania Muheshimiwa John Pombe Magufuli mke we Janet Magufuli, tangu tarehe sita mwezi Aprili mwaka huu ataanza ziara zake mbili rasmi nchini Rwanda kwa ajili ya kuhudhuria kipindi cha kukumbuka wahasiriwa wa mauaji ya kimbari dhidi ya watutsi mwaka 1194 kwa mara ya 22.

Ziarani hii, siku ya kwanza, Rais Magufuli atatembelea daraja mpya ya Rusumo kabla ya kukutana na wanahabari.

Juu ya kalenda yake Magufuli na mke we wataunga mkono na Rais Kagame wa Rwanda na Mke we kubadili mwanga wa matumaini, kuweka maua juu ya kituo cha kumbukumbu eneo la Gisozi, ziara ya kukumbuka na usiku wa kukumbuka uwanjani wa taifa Amahoro.

Magufuli ni Rais wa kwanza ambaye atatembelea Rwanda baada wanyarwamba walioishi Tanzania kukimbizwa nchini humo.

Janvier KARANGWA

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments