HII NDIO SABABU YA MOZEY RADIO KUNYOA RASTA.

Msanii wa Dance hall kutokea nchini Uganda, Mozey Iyobo, amenyoa rasta zake alizokuwa akifuga kwa miaka mingi.

Mkali huyo ambaye ana degree ya Psychology, ameamua kuweka wazi sababu hasa iliyomfanya abaki na ‘kipara’.

Radio amedai kuwa anarejea masomoni chuo kikuu cha Makerere kukamilisha ndoto yake ya kuwa mwanasheria, na hiyo ndio sababu kuu iliyomfanya aziondoe Rasta zake.

Chanzo : TimesFM

Janvier KARANGWA

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments