PSG dhidi ya Manchester City katika hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa

Wachezaji wa Paris Saint-Germain Edinson Cavani na Zlatan Ibrahimovic.
Paris Saint-Germain itakabiliwa Manchester City katika hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa wa soka la Ulaya,
Aprili 5 au 6 na kisha 12 au Aprili 13. Mabango mengine : Wolfsburg (Germany) -Real Madrid (Hispania),
Bayern Munich (Germany) -Benfica Lisbon (Portugal) na

Barcelona (Hispania) -Atletico Madrid (Hispania).

Janvier KARANGWA

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments