Jeannette Kagame kukutana Wanyarwanda katika Marekani

1

Madam Jeannette Kagame atakuwa tarehe19 machi, mwaka huu kujiunga na Wanyarwanda wanaoishi nchini Marekani katika mkutano ambao watajadili jukumu ya Diaspora katika maendeleo ya Rwanda.

Mkutano ni sehemu ya maadhimishoya siku ya wanawake Duniani iliyoandaliwa na Diaspora ya wanyarwanda nchini Marekani (USRD) kwa kushirikiana na Ubalozi ya Rwand katika Washington DC na Wanyarwanda waliopo nje ya nchi.

Mkutano huo uliandaliwa baada ya kugundua jukumu la kuhusika wanawake katika utawala wa Rwanda na USA. Itakuwa ni fursa ya kubadilishana mawazo juu ya mahitaji ya wanawake kuhusu fursa za ajira, kutafuta kwa pamoja jinsi ya kushughulikia vikwazo yanayowahusu na jinsi ya kukuza wanawake kupitia elimu wakati kutunza kanuni za utamaduni wa Rwanda.

Mkutano huo pia kujadili mafanikio katika utawala na kubaini mapungufu ambayo yanahitaji takaswa.

Janvier KARANGWA

Changia hii habari na wenzako.

Comments 1

Tumia Comments