Je, ni haki kwa kuchanganya dini na siasa ?

1

vitabu vya mungu vinatumiwa kama silaha.
Dini ni mfumo wa utamaduni wa tabia na mazoea , maoni dunia , maadili na mashirika ya kijamii ambayo yanahusiana ubinadamu na utaratibu wa kuwepo. Kuhusu 84% ya idadi ya watu duniani ni mwanachama na moja ya tano ya dini kubwa , yaani Ukristo, Uislamu, Uhindu, Ubudha au aina ya dini watu.

Bila shaka madini hutusaidia katika maisha yetu ya kila siku kwani anatuweka katika hali ya utulivu, hapa ndipo wakati unakumbwa na shida ukakimbilia mbele ya macho na uzuri wa Muenyezimungu ili akusaidie kutoka katika hali hiyo, hivyo tunaviona wakati mtu anapogonga jiwe njiani na kusema weeeh Mungu !!!, Yesu wee !

Sikuzinduliwa na kuwaambia injili, ningependa tutazame mbele na undani jinsi madini anavyoingia katika siasa. Si mara ya kwanza tunavyoona viongozi wa dini wanapochanga imani za kidini na kisiasa kuharibu imani zao bali wakaangamiza maisha ya watu wengi na kudhani kuwa wanaokoa maisha ya binadamu, la ! hivyo sivyo mfano wa kudhihirisha hoja hii ni makundi ya kigaidi humwaga damu za watu.

Madini anasaidia serikali kuingiza mawazo ya kisiasa mwa akili za watu ingawa tunajua kuwa viongozi wa serilikali wanaweza kupitia ndani mwa masikio ya wakuu wa dini kuingiza mawazo ya kijinga kwa watu kwa sababu sauti yake inafika mbali kuliko sauti ya viongozi wa serikali.

Kutokana na imani za watu, watu wanaofuata imani za kidini hawakubari imani ya ushoga kwani wanasema kuwa ni uchafu mbele ya Mungu, imani ya kidini inakataza ushoga hadharani ingawa baadhi ya wanasiasa wanasema kuwa ushoga ni haki ya mtu binafsi yaani hawezi kukandamizwa mbele ya haki yako.

Sote lazima kukubaliana kwamba siasa pia ni sehemu ya maisha na wakati wa mapumziko ya mambo katika maisha yako ni ya msingi juu ya mafundisho yako kidini kwa nini basi si siasa ?

Yesu akawaambia , "Mpeni Kaisari yaliyo yake Kaisari , na Mungu yaliyo yake Mungu ." Wakashangazwa sana naye.”Marko 12:17”

Martin Hubert IKURAMUTSE

Changia hii habari na wenzako.

Comments 1

  1. mbona tatizo kubwa kuchanganya dini na siasa, kwani yote ni tofauti sana kimaana ingawa yote anashawisha wafuasi wao , siyo vizuri kuchanganya mambo hyo mawili tofauti,

    mambo ya siasa afanyike kisiasi hapana kidini , ningepenga madini kusaidia siasa kutimiza malengo yao lakini siasa siyo dini,

    mala nyingi madini anawasaidia wanasiasa kuwashawisha maraia lakini ingawa kilapande laweza kusaidia pande jingine lakini ni tofauti

Tumia Comments