Rwanda yaanzisha mbinu mpya za kuomba ajira

Rwanda imeanzisha mbinu mpya za kuomba ajira kwakutumia tekinolojia E-Recruitment

Kuomba kazi au kutafuta tija ukitumia njia ya kitekinolojia itaanza kutumiwa na wafanya kazi wa Serikali katika wizara ya Wafanyakazi.

Hii ni mojawapo ya Sera za serikali ya Rwanda ili kupambana na swara la utowaji wa ajira kwanjia zisizo harali.

Atakae kuwa anahitaji ajira atakuwa anajaza fomu maalumu a kitumia tekinolojia tuliyotaja hapo juu. kisha atakuwa anapewa jibu papohapo kama ombi lake limekubaliwa au laa.

Waziri wafanyakazi nchini bi Judith Uwizeye amesema kuwa mbinu hii mpya itawasaidia watu kupata ajira kwa njia rahisi.

Hii nipamoja na kuwarahisishia watu wanaotoka mbari wakiwa wanapereka baruwa za maombi ya kikazi. Pia waziri Judith amesema kuwa itapunguza watu ambao walio kuwa wakitowa rushwa kusudi wa pate ajira.

Mbinu hizo kwa watu wanao tafuta ajira zinatarajia kufikishwa katika kila Wilaya na baadaye kusambazwa katika ngazi zote husika za Uongozi.

Tuwakumbushe kuwa zoezi hilo riri anzishwa mwanzoni mwa wiki hii.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments