Jeshi la Polisi nchini Rwanda lasifia waliohudhuria CHAN.


Jeshi la Polisi nchini Rwanda limetoa shukrani kwa mataifa yaliyoshiriki katika mashindano ya 4 ya kombe la mataifa barani Afrika kwa wachezaji wa ligi za ndani CHAN hususan kwa mwenendo wao usalama viwanjani.

Msemaji wa Polisi nchini Assistant Commissioner of Police ( ACP) Twahirwa Celestin, alisema.

Amesema kuwa inaonyesha kuwa maandalizi ya michuano hiyo iliandaliwa barabara.

Polisi imetoa shukrani zake za dhati kwa mashabiki pia na wengine wote walioshiriki katika michuano hiyo.


Leopards wakishangilia ushindi

Hii inaonyeaha picha halisi ya jeshi la polisi ya Rwanda kuwa iko imara katika kulinda usalama hata kama ni mashindano ya Kimataifa kuliko haya.

Ikumbukwe kuwa mechi zilianza kuchezwa hapo tarehe 16 januari na kumalizika hapo tarehe 7 Februari 2016.

Katika mechi ya fainali timuya DRC mabingwa wa kombe hilo baada ya kuichapa timu ya Mali kwa ushindi wa mabao 3 kwa bila.

John Bagabo.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments