Bunge la EAC halitaondoa Burundi kwenye jumuiya hiyo

Uamuzi huo umekuja baada ya wanasheria katika jumuiya hiyo ya umoja wa Afrika mashariki pia na wanaosimamia haki za kibinadamu kuwasilisha mswada katika bunge la EAC.

Ambapo ombi hilo lilikuwa likiomba nchi ya Burundi isipewe uongozi katika EAC, hadi ambapo nchi hiyo itakapo toka katika machafuko yariyo tokea mara tuu Rais Nkurunziza alipo idhinishwa na chama chake kuwa mgombea katika kiti cha Urais.

Mjumbe wakamati ya kusuruhisha migogoro katika jumuiya ya Afrika bwana Abdullahi Mwinyi amesema kuwa kuondowa Burundi katika jumuiya ya EAC siyo Suruhu.

Juma riliro pita jumuiya ya Afrika "AU" irichukuwa uamuzi wakutopereka majeshi 5000 wakulinda usalama nchini Burundi.

John Bagabo

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments