Rais Kagame ampokea Li Yong

Rais Paul Kagame amempokea katika Ikulu bwana Li Yong kiongozi wa umoja wa Mataifa anaehusika na maendeleo ya Viwanda (UNIDO).

Katika mazungumzo yao wamejikita katika maendeleo ya Viwanda nchini Rwanda.

Kiongozi huyo pamoja na umati alio ambatana nao wamepokelewa baada ya hapo Jumatano kusaini na Waziri wa Biashara na Viwanda François Kanimba

Katika mkataba huo ulikuwa ni wa kutilia maanani viwanda kiasi kwamba wananchi watanufaika katika maendeleo ya kitaifa.

Katika ziala hiyo bwana Li Yong amevitembelea baadhi ya viwanda kama vile kiwanda cha POSITIVO BGH kinacho tengeneza kompyuta pia na kiwanda cha C and H Garment kinacho tengeneza Nguo, na kiwanda cha STRAWTC kinacho tengeneza vifaa vya Ugenzi.

Bwana Li Yong amemariza miaka miwili akiwa kiongozi wa (UNIDO)

John Bagabo

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments