Bunge la Rwanda la punguza miaka ya kuwa mtu mzima

Bunge limepunguza miaka ya kuwa mtu mzima ambapo imetoka miaka 14-35 na kuwekwa kwenye miaka 16-30.

Kwa mjibu wa waziri wa vijana na tekinolojia bwana Jean Philbert Nsengimana amesema kuwa kupunguza umli huo wa miaka ni kwa minajili ya vijana wariona elimu na ware ambao hawakufanikiwa kuenda shule iri waweze kupata haki zao katika shughuri mbari mbari kama vire kupewa haki ya kuchaguliwa kuwa kiongozi katika Ngazi tofauti za serikali.

Mpaka sasa wanyarwanda walio na umli wa miaka 14-35 wanaringana na 40% iwapo sheria hiyo itakapo kuwa imeidhinishwa na Bunge idadi hiyo inaweza kupunguwa hadi 30%

John Bagabo

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments