Rwanda yajiandaa katika michuano ya kijeshi ya EAC

Viongozi wa nchi tano wapatao 500 wanao wakirisha wenzao katika jumuiya ya Afrika mashariki "EAC", Wanatarajiwa kufika nchini kigali hapo tarehe 5 hadi tarehe 18 Septemba 2016.

Viongozi hao watakuwa wamekuja kwa minajili ya maandalizi ya michuano ya kijeshi ni kwa awamu ya 10.

Wizara ya kijeshi nchini inasema kuwa maandarizi hayo ya naendelea vizuri.

Katika mkutano wa kwanza katika maandarizi hayo Brig.Gen Makemwaga kutoka Tanzania amewaomba watakao fanya mazoezi ya utamaduni kuzalisha matunda.

Katika michezohiyo itakayo chezwa nipamoja na Mpira wa miguu, Volleyball, Netball pia na Basketball. Pia kutakuwa na mdaa uliotengwa kwa kuonja utamaduni wa mataifa hayo.

John Bagabo.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments