Rwanda kuandaa mkutano wa 27 wa umoja wa Afrika.

Rais Kagame akiwa na katibu mkuu wa Umoja wa Afrika

Rais Kagame amesema kuwa mahitaji ya waafrika yatatoka ndani mwao

Rais wa Rwanda Paul Kagame amesisitiza kuwa mahitaji ya wa afrika ya kiwemo Demokrasia, maandeleo bora yatatoka katika wakazi wa bara hili la Afrika.

Haya Rais Paul Kagame ameyataja akiwa katika mkutano wa 26 unao wajumuisha marais na wakuu wa serikali nchini Ethiopia.

Mkutano huo urikuwa ni wakutathimini yaliyo fikiwa katika bara la Afrika .

Miongoni mwa mwa yale yaliyopewa kipaumbele ni pamoja na Uongozi bora, Deomokrasia na Uchumi.

Hayo yakiarifiwa, rais wa Rwanda ameteuliwa kuwa Makamu mwenyekiti wa AU.

Mwezi julai 2017, Rwanda imepewa majukumu ya kuandaa mkutano wa 27 wa umoja wa Afrika.

Rais Kagame hupenda kutoaa ushauri kwa waafrika, akisema kuwa wao ndi msingi wa maendeleo katika bara lao.

John Bagabo

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments