Rwanda yachaguriwa kuwa kiongozi wa kamati ya umoja wa Afrika ( AU).

Mawaziri wa ushilikiano wa kimataifa katika jumuia ya Afrika (AU) wameichaguwa Rwanda kuwa kiongozi katika mkutano wa jumuia hiyo.

Uchaguzi huo umefanyika jana tarehe 28 January 2016 jijini Mek’ele nchini Ethiopia.

Rwanda itachukuwa majukumu hayo kipindi cha miaka miwili (2)

Kamati hiyo ya amani katika umoja wa Afrika AU ilianzishwa hapo lasmi mwaka 2003 ambapo kamati hiyo ilikuwa na majukumu ya kudhibiti migogoro katika umoja huo.

Kamati hiyo huzijumuisha inchi 15 kati ya nchi hizo ,nchi 5 huchaguriwa kwa kuongoza kwa miaka 3 ambapo nchi 10 huchaguriwa kuongoza kwa miaka miwili 2 ambapo wanaweza kugombea katika mihura mingine.

Ni baada ya myarwanda Dr Donald Kaberuka kuchaguriwa kuwa mwenyekiti wa fuko la AU

Tuwakumbushe kuwa kiongozi katika kamati hiyo hubadirika kila mwezi kwa kufuata Arfabeti yakila nchi iliyomo katika jumuia hiyo.

John Bagabo

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments