Rwanda-RDC katika hatua ya ¼ fainali

Timu ya taifa ya jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo DRC Camaroon mabao 3-1 sasa itachuana na Rwanda na Rwanda katika kinyang’anyiro cha ¼ fainali ya kombe la CHAN 2016 katika uwanja wa taifa wa Amahoro, mjini Kigali.

Katika kundi B Chui (Leopards) ya DRC ina alama 6 huku Simba wa nyika Cameroun ikiiongoza kundi hilo na alama 7 , itamenyana na Cote d’Ivoire.

Michuano hiyo imepangwa kuchezwa tarehe 30 januari, mashabiki wa soka wanasema kuwa mechi ya Rwanda na DRC ni derb ya ukanda wa Afrika ya kati, watachuana jumamosi kwenye uwanja wa Amahoro saa 9 alasiri.

Cameroon na Cote d’Ivoire watachuana saa 12 jioni.

Matokeo :

Jumamosi, 16/01 Rwanda 1-0 Côte d’ivoire
Gabon 0-0 Morocco

Jumapili, 17/01 RDC 3-0 Ethiope

Angola 0-1 Cameroun

Jumatatu, 18/01 Tunisie 2-2 Guinée

Nigeria 4-1 Niger

Jumanne, 19/01 Zimbabwe 0-1 Zambia
Mali 2-2 Ouganda

Jumatano, 20/0 Rwanda 2-1 Gabon
Morocco 0-1 Côte d’Ivoire

Alham , 21/01 RDC 4-2 Angola
Cameroun 0-0 Ethiopia

Ijumaa , 22/01 Tunisia 1-1 Nigéria
Niger 2-2 Guinée

Jumamosi, 23/01 Zimbabwe 0-1 Mali
Ouganda 0-1 Zambie

Jumap , 24/01 Morocco 4-1 Rwanda
Côte d’Ivoire 4-1 Gabon

Jumatatu , 25/01 Cameroun 3-1 RDC
Ethiopie 1-2 Angola

Jumann , 26/01 Niger 15:00 Tunisie
Guinée 15:00 Nigéria

Jumatano 27/01 Ouganda 15:00 Zimbabwe
Zambia 15:00 Mali

Christopher Karenzi

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments