Orodha ya viongozi ambao hawaruhusiwi kugombea nyadhfa za uongozi wa wilaya yatajwa

Mwanzoni mwa mwezi ujao wa Februari mwaka huu nchini kote kunatarajiwa uchaguzi wa viongozi wa ngazi za mwanzo ambao wanamaliza muda wao.

Katika uchaguzi huo utakaofikia kilele chakei mwezi Mei, kutakuwepo pia uchaguzi wa wakuu wa wilaya 30 zikiwemo 3 mjiwa Kigali.

Tume ya taifa ya uchaguzi siku zilizopita, ilitangaza kuwa baadhi ya viongozi waliomaliza awamu zao , wapo 23 ambao hawaruhusiwi kugombea kwasababu wamemaliza awamu mbili kwa mujibu za jiji la sheria.

Orodha iliyofikia gazeti la makuruki , viongozi walioanza kazi kuanzia mwaka 2006-2010, na kuchaguliwa tena 2011-2016 ni hawa wafuatao :

Paul Jules Ndamage wilaya ya Kicukiro
Winifrida Mpebyemungu mkuu wa wilaya ya Musanze
Samuel Sembagare mkuu wa wilaya ya Burera
Justus Kangwagye : mkuu wa wilaya ya Rulindo
Gédéon Ruboneza mkuu wa wilaya ya Ngororero
Fred Sabiiti Atuhe mkuu wa wilaya ya Nyagatare
Louis Rwagaju mkuu wa wilaya ya Bugesera
Karekezi Léandre mkuu wa wilaya ya Gisagara
Murenzi Abdallah : mkuu wa wilaya ya Nyanza
Mutakwasuku Yvonne mkuu wa wilaya ya Muhanga
Rutsinga Jaques mkuu wa wilaya ya Kamonyi

Karenzi Christopher

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments