Kwa mara ya kwanza wagombea katika uchaguzi watatumia mitandao ya kijamii

Kwa mjibu wa watume ya taifa ya uchaguzi NEC, inasema kuwa katika uchaguzi unaotarajiwa kuanza hapo tarehe 8 Februari, wagombea katika ngazi za mwanzo hususani wakuu wa Wilaya na wakuu wa wilaya wasaidizi wataweza kutumia mitandao ya kijamii kama vile Wats App Facebook na Twitter katika kuelimisha uchaguzi.

Tume ya uchaguzi imesema kuwa tarehe 6 Februari ndipo wagombea wataanza kunadisi sela za na kumalizika 21 Februari.

Tume ya uchaguzi imezema kuwa maandalizi yote yanayohusu uchaguzi tayari yameisha kamilika.

Tume ya taifa Imeahidi kuwa waangalizi wa uchaguzi watakuwa Mabalozi, Umoja wa mataifa (UN) na mashirika yanayofanyia shughuli zao nchini Rwanda.


John Bagabo

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments