RECSA yahitimisha semina ya kuweka ishara kwenye Siraha

Kitengo cha (RECSA) kinachohusika na kudhibiti siraha kimehitimisha semina iliyokuwa ikijikita kuweka ishala kwenye Siraha

Maafisa kutoka mataifa yalioko katika muungano wa RECSA , wamehitimisha semina ambayo ilikuwa ikifanyika katika shule la Police la Gishali wilayani Rwamagana.

Muungano huo umesema kuwa unaomba mataifa kutii mkataba wa Nairobi nchini Kenya.

Mkataba huo unasema kuhusu kuweka mikakati ya kuthibiti kuenezwa kwa siraha kubwa na ndogo katika maeneo ya maziwa makuu

Akihitimasha semina hiyo, kamishina wa polisi nchini Rwanda ambae ndie kiongozi wa shule la Gishali (CP) John Bosco Kabera amesema kuwa wakati RECSA itakapotaka kufanyia semina katika shule hiyo, wako karibu.

Bwana Garang Martin kutoka Sudani ya Kusini amesifu jinsi walivyopokelewa, na kwamba ufanisi waliopata utawasaidia wao pia na RECSA kwa ujumla.

Katika mkataba huo wa Nairobi, ribaya 7 inaziomba nchi
zilizoko katika jumuia ya RECSA kuweka ishala katika siraha za Serikali ili kurahisisha ukaguzi wa silaha.

John Bagabo

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments