Jeshi la Police nchini Rwanda liko makini kwa ulinzi katika CHAN.

Police nchini iko makini katika viwanja vya mpira ambapo kuna chezewa kombe lakimataifa la CHAN.

Msemaji wa Police ACP Twahirwa Cereste amewaomba madreva kupunguza mwendo wakasi wakitii shelia za balabara pia nakuepukana kupokea simu ukiwa unaendesha gali

Tuwakumbushe kuwa kombe la kimataifa la chan hiileo zinachezwa mechi katika kundi " A" Timuya rwanda na Gabon, badaye kutachezwa katiya Every cost na Morocco

John Bagabo

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments