Wizara ya elimu imetowa matokeo ya mitihani

Wizara ya elimu nchini Rwanda imetangaza matokeo ya mitihani kwa wanafunzi wa shule za msingi na kidato cha tatu kwa sekondari mwaka 2015.

Kwa shule za msingi waliofaulu mtihani wa taifa ni wanafunzi 132.698 ambao nisawa na 84.5% .

Katika shule za sekondari kidato cha tatu waliofaulu ni wanafunzi 136007 ambao nisawa na 84.82% , hawa ndio watakaojiunga na kidato cha nne.

Wasichana ndio walioshinda kwa kiwango cha juu, kwa asilimia 54.67% wakati wavulana walishinda kwa kiwango cha asilimia 48.30%.

Tuwa kumbushe kuwa zimesalia wiki tatu ili kuanza muhula wa kwanza kwa shule zote nchini. Masomo yataanza hapo tarehe 2 Februari 2016.

Jonh Bagabo

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments