Rais Kagame atoa ushauri kuhusiana na Uchumi wa Afrika.

3

Rais Paul Kagame ametoa mtazamo wake kuhusu kile kinachoweza kufanywa katika uchumi wa Afrika.

Rais Kagame ambaini kuwa itakuwa vizuri endapo wananchi watafanya kazi kwa bidii ili kuongeza hadhi inayofanywa katika biashara na ujasiliamali kuongezeka.

Rais ameongeza kuwa ushirikiano thabiti kati ya wakazi wa Afrika ni miongoni mwa maendeleo bora Barani Afrika.

Mtazamo huo Rais Paul Kagame ametowa mara tu inapo sadikiwa kuwa mwaka huu wa 2016 kunaweza kukatokea hali ngumu ya maisha kwa wakazi wa bara la Afrika.

John Bagabo

Changia hii habari na wenzako.

Comments 3

Tumia Comments