Mbeligiji anakubaliana na wanyarwanda kubadili katiba

Alain Billen

Bwana Alain Billen mtafiti katika siasa ya Afrika, anakubariana na wanyarwanda katika uamumzi wa kuendelea kuongozwa na rais Paul KAGAME.

Amesema kuwa wakati mauwaji ya kimbali dhidi ya watusi yalipokuwa y kifanyika, baadhi ya mataifa yalikuwa yamekaa kimya.

Ametaja sifa kuu zinazomkubalia rais Kagame kuendelea kuwa madarakani katika awamu ya tatu.

Miongoni mwa sifa hizo ni pamoja na orodha iliyowekwa hadharani na World Economic Forum, ambapo Rwanda ilichukuwa nafasi ya sita duniani kuhusu umaridhiano wa wakina Baba na Mama.

Sifa zingine ni pamoja na umoja na mshikamano wa wanyarwanda baada ya mauwaji ya kimbari dhidi ya Watutsi 1994.

Kuweza kukabiliana na rushwa nchini, elimu hutorewa bule kwa kila mwanafunzi, usafi kote nchini, miundo mbinu na kadhalika.

Sera hizo ndizo zinazomfanya rais Paul Kagame kuendelea kuka madarakani ili kuweza kudumisha yaliyofikiwa na wanyarwanda

Ameendelea kusema kuwa anamuona Kagame kuwa ni rais ambae ana muelekeo pia mwenye sifa kote duniani, hata mataifa jirani yanasisitiza kuwa Rwanda ni nchi yenye amani tele na usalama.

Ikumbukwe kuwa kwa mjibu wa katiba mpya Kagame anakubaliwa kuwania kiti cha urais baada ya kumaliza muhula wake ifikapo 2017.

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments