Tarehe ya kura ya maoni imetengazwa

Wanyarwanda kwenye msururu mbele ya jengo la bunge, wakiwa na baruwa za kuomba katiba irekebishwe mwezi Juni

Mkutano wa Baraza la mawaziri uliofanyika Jumanne jioni umeamua kuwa tarehe 18 Desemba mwaka huu ni siku ya kura ya maoni.

Kura hiyo ya maoni itakuwa ya kuchagua marekebisho ya katiba, ambayo rasimu yake imeishaandaliwa na bunge.

Tarehe hiyo imewekwa baada yake rais Paul Kagame kuviombwa tarehe iwe hiyo , Jumamosi katika mkutano wa viongozi wakuu wa chama chake RPF.

Wanyarwanda wa ughaibuni watapiga kura tarehe 17 Desemba.

Marekebisho ya katiba ameanzishwa baada ya wanyarwanda zaidi ya milioni tatu kuomba bunge irekebishe katiba.

Walikuwa wakitaka rais Kagame aendelee kutawala baada ya mihula yake miwili kumalizika mwaka 2017.

Ferdinand Maniraguha

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments