Leicester wachukua uongozi EPL

Bofya hapa kwa habari za karibuni zaidi

Leicester wanaongoza msimamo wa Ligi Kuu Uingereza baada ya kupata ushindi wa 3-0 dhidi ya Swansea. Arsenal, waliopata ushindi wa 3-1 nyumbani dhidi ya Sunderland wanashikilia nafasi ya pili wakifuatwa na Manchester City ambao wamekubali kulala 2-0 ugenini Stoke City.

Lecester wana alama 32, Arsenal 30, Man City 29 na Man Utd alama 29.

Haya hapa matokeo kamili :
 Stoke 2-0 Man City
 Arsenal 3-1 Sunderland
 Man Utd 0-0 West Ham
 Southampton 1-1 Aston Villa
 Swansea 0-3 Leicester
 Watford 2-0 Norwich
 West Brom 1-1 Tottenham

Manchester United wametoka sare 0-0 nyumbani dhidi ya West Ham

BBC

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments