Mchezaji imara Ndayisenga Valens kuondoka Tour du Rwanda

Mchezaji imara wa timu ya waendesha baiskeli ya Rwanda Ndayisenga Valens ameondoka katika mashindano ya Tour du Rwanda 2015, kipindi cha tano kinachofanyika Ijumaa hii.

Madaktari wa Timu ya Rwanda wameamua kumuondoa Ndayisenga kwa sababu ya shida alilolipaata baada ya mashindano ya jana Jumatano , shida la upungufu wa sukari mwlilini.

Jumatano Ndayisenga jana alimaliza wa kumi na kuzirai mara hiyo. Baadaye madakatrai walithibitisha kuwa Ndayisenga amepata upungufu wa sukari ndiyo maana ya kuzirai.

Shida hiyo imeendelea hadi asubuhi ya leo, wakati wengine walikuwa wakijiandaa kutoka Muhanga, wakielekea Rubavu.

Haijajulikana ikiwa akipata nafuu ataweza kuendelea na mashindano.

Ameondoka mashindano akiwa wa saba kwenye orodha ya Ujumla.

Ndayisenga ndiye mshindi wa Tour du Rwanda mwaka jana

Hadi Ijumaa asubuhi, mnyarwanda Nsengimana Jean Bosco ndiye anayeongoza mashindano kwenye orodha ya ujumla.

Ferdinand Maniraguha

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments