Jeshi la Kenya latuhumiwa Somalia

1

Jeshi la Kenya limetuhumiwa kujihusisha na biashara, badala ya kufanya kazi zinazowahusu nchini Somalia.

Taasisi ya Wanahabari Wanaopigania haki imelituhumu jeshi hilo kujiingiza katika masuala yanayowaletea faida.

Taasisi hiyo imewalaumu baadhi ya maofisa wa jeshi kushirikiana katika biashara haramu na wapiganaji wa Al Shabaab.

Sikiliza mahojiano ya David Wafula na Msemaji wa Jeshi la Kenya Kanali David Obonyo, ambaye anakanusha tuhuma hizo.

BBC Kiswahili

Changia hii habari na wenzako.

Comments 1

  1. Inasikitisha iwapo itakuwa ni kweli, basi niwakulaumiwa, kama mumekwenda kulinda raia, basi walindeni hamukwenda kufanya biashara huko.

Tumia Comments