CHAN 2016 Rwanda mwenyeji wa mashindano...

Timu ya taifa ya soka ya Rwanda Amavubi mechi zake za hivi karibuni ilishindwa kutamba, itakuwa na kibarua kuchuana na timu kongwe katika michuano itakayofanyika nchini Rwanda .

Matokeo ya kombe la Michuano ya Afrika CHAN 2016

Mashindano ya kombe la Afrika kwa timu za mataifa zinazocheza ligi ya nyumbani yanatarji kufanyika tarehe (16 januari hadi 7 februari 2015 nchini Rwanda) dro inatarajiwa kufanyika tarehe 18 Novemba mjini Kigali.

wiki iliyopita matokeo yake kwa jumla

Libya – Moroc*, Tunis (0-4),

Timu ya Morocco na Tunisia tayari zimekwisha kata tikiti ya kombe la CHAN 2016.

Timu ya taifa ya Congo Kinshasa ilipata ushindi wa che dhidi ya Afrika ya kati iliyoondoa mapema kwenye mashindano hayo
Rwanda mwenyeji wa mashindano ya CHAN 2015 haikushirikishwa kwenye michano ya mtoano

Jumamosi tarehe 24 Oktoba2015

Mauritania – Mali, mjini Nouakchott (1-2 mchuano wa awali)
Sénégal – Guinée, mjini Dakar (0-2 mchezo wa awali)
Gabon – Tchad, à Libreville (2-0 mchezo wa mzunguko wa kwanza)
Ethiopia – Burundi, mjini Addis Abeba (0-2) mchuano wa awali mwishoni mwa juma Ethiopia iwika ugenini na kuindoa Burundi kwa 3-0
Angola na Afrika ya kusini mjini Luanda (2-0 ) mchuano wa awali

Jumapili 25 octoba 2015

 Burkina Faso – Nigeria, à Ouagadougou (0-2 à l’aller)
 Tunisie – Maroc, mjini Tunis
 Togo – Niger, (0-2)
 Congo – Cameroun, mjini Brazzaville (0-0)
 Sudan – Uganda, mjini Khartoum (0-2)
 Lesotho – Zimbabwe, mjini Maseru (1-3 )
 Msumbiji – Zambia, mjini Maputo (0-3)

Ijumaa tarehe 30 Oktoba 2015

Côte d’Ivoire – Ghana,Abidjan (1-2 à l’aller). Mchuano uliahirishwa kutokana na uchaguzi uliofanyika jumapili nchini Côte d’Ivoire.

Christopher Karenzi

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments