Mashindano ya Rwanda Cycling Cup 2015 yafikia kilele chake mwishoni mwa wiki hii

Mashindano ya mbio mbio za baiskeli mwishoni mwa wiki hi itakuwa vuta ni kuvute

Mashindano ya Rwanda Cycling Cup 2015 yanayoandaliwa na Ferwacy kwa ushirikiano na kiwanda cha bia cha Skol pamoja na Cogebanque, yatafikia kilele chake mwishoni mwa wiki.

Waendesha baiskeli kutoka Timu sita wamepangwa kuchuana kutoka

Kwa mujibu wa afisa habari wa chama cha kuendesha baiskeli nchini Rwanda FERWACY Jacques Furaha, wachezaji wote kwa jumla kutoka timu hizo wataanzia safari yao wilayani Muhanga saa tatu za asubuhi wakielekea mjini Rubavu ambapo shindano hili litafikia umbali wa km 140, njia hiyo ndiyo itakayotumiwa katika shindano la kimataifa la Tour du Rwanda (15-22 Novemba 2015) siku ya tano.

Asubuhi yake jumapili watatoka mjini Rubavu wakielekea mjini Kigali km 165, njia hii pia itatumiwa katika shindano la Tour du Rwanda ikiwa ni siku ya sita.

Kwa namna ya pekee mashindano haya yatasaidia wachezaji kujiandaa vizuri zaidi na kutafuta wachezaji wa timu ya taifa itakayoanza kujiandaa mashindano ya kimataifa ya Tour du Rwanda mwaka huu.

Baada ya mashindano haya, mchezaji bora wa Rwanda Cycling Cup atakabidhiwa zawadi mwaka huu.

Wachezaji 10 bora ni hawa wafutao

Karenzi Christopher

Changia hii habari na wenzako.

Comments

Tumia Comments