Tujifunze Kiswahili

Msamiati wa Kazi mbalimbali

Katika dunia ya leo watu hufanya kazi mbalimbali ili waweze kushinda maisha ambayo tunaona ni magumu na ni lazima tupambane nayo kwa kufanya kazi...

Majina ya ukoo (familia kubwa)
1

Familia kubwa huhusisha familia ndogo pamoja na wazazi wa baba/mama, ndugu za baba na mama, pamoja na watoto wao. Kwa Kiingereza, familia hii...

UREMBO : Msamiati wa Mapambo

Mapambo ni vitu vinavyovaliwa na watu ili kujirembesha ; kuwafanya wavutie machoni pa watu wengine hivyo hivyo hupendelewa sana na wanawake...

VIHUSISHI
1

Viiingizi ni maneno yanayodokeza vionjo au miguso ya moyo au akili, vionjo vya moyo huweza kuwa ni vya furaha, uchungu, mshangao, mshtuko,...

TUJIFUNZE KISWAHILI

Masaa ya kutwa Yafuatayo ni mafungu ya masaa au nyakati mbali mbali za siku. WAKATI MAELEZO Mchana...

Mbinu za Uandishi Bora

Matumizi sahihi ya maneno katika uandishi. Waandishi wa habari hawana budi kuwa makini wanapoandika kwa kuchagua maneno yaliyo sahihi na sanifu....