Swansea yamsajili Andre Ayew

Mshambuliaji wa Ghana Andre Ayew amejiunga na kilabu ya Swansea kwa uhamisho wa bure na kuandikisha mtakataba wa miaka minne na kilabu hiyo....